💛 YESSIFY
Nakupenda
Rusha mistari yako.
ATAKACHOSOMA
“Nikuambie ukweli? Napenda sana.”
Nakupenda pia 💛 · Marafiki tu
Kitufe cha La kinasema nini kikikimbia
- Kweli? 🥺
- Nilifanya mazoezi mbele ya kioo 🪞
- Marafiki zangu walisema utakubali 👀
- Marafiki tu… kwa sasa? 😅
- Sawa, button pia ni shy
Akikubali, WhatsApp inafunguka na ujumbe huu
💬 Nakupenda pia, Brian 💛
Inavyofanya kazi
- Chagua ombi na liandike kwa maneno yako.
- Ongeza picha, ujumbe wa sauti au muziki ukipenda.
- Hifadhi, lipa kwa M-Pesa, na utume kiungo kwenye WhatsApp.
Kuanzia KES 499 · lipa mara moja · Milele kwa KES 799
- 🔒 Inafunguka kwenye yessify.co.ke — angalia anwani kabla ya kugusa.
- 🔒 Hatutawahi kumwomba PIN, kuingia wala pesa.
- 🔒 Hakuna app. Hakuna akaunti. Anafungua tu.